Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja kizr tambarare kimezungushiwa fence kabisa kinauzwa bei milion 35
Location tabata kinyerezi
Kiwanja kinaukubwa wa square mita 1800
Kiwanja kipo vzr kujenga apartments au makazi binafsi
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Sevchage 30000 kwenda Kuona saity
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347