Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


UNDER GROUND JUU NA CHINI) imeshuka bei toka milion 90 mpk milion 88 WAHI usiogpe bei unawez shuka njoo
INAUZWA MILIONI 88 (TABATA KINYEREZI)
PUNGUZO 💥 PUNGUZO 💥HII NI OFA KUBWA NDUGU MTEJA INAUZWA NYUMBA HII MILIONI 90 (88,000,000/= )
NYUMBA NZURI KUBWA YA(UNDER GROUND )FAMILIA INAUZWA NI NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA IPO SEHEMU NZURI SANA BEI MSELELEKO KABISA (88,000,000/= TSH) MILLION 88 NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YAPO YA KUTOSHA
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI
#NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA KUONGEZEA UREMBO WAKO BINAFSI
PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE NA JIKO CHINI NYUMBA HII KUBWA SANA TENA SANA
BEI NI 88,000,000/= TSH (maongez fika site)
UKUBWA WA ENEO NI 20/15 METERS
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO TABATA KINYEREZI MWISHO...
KUTOKA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#0785889413
#0785889413
#0754589413