Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA CHA MAKAZI KINAUZWA TABATA SEGEREA SANENE DAR ES SALAAM-TANZANIA
BEI: 75 MILLION. (MAONGEZI YAPO KIDOGO)
SERVICES CHARGE: 30,0000
๐LOCATION: TABATA SEGEREA SANENE
๐UMBALI NI DAKIKA 6 FROM MAIN ROAD
๐UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 554
โ
๏ธ KIWANJA HIKI KINA HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI
Kiwanja hiki kipo Katika Mtaa mzuri sana panafikika kwa ulahisi kumejengeka sana kipo Tambalale mazingira mazuri kinafaa kwa uwekezaji au kwa kuishi vyovyote vile panalipaa sana kimezungushiwa fence pande zote Huduma zote zipo za kijamii Kama umeme na maji.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
CALLS;O677370515