Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa sh milion 40 maongezi kidogo yapo, ukubwa wa eneo square meter 1060, eneo lina barabara ya mtaa, panafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi au nyumba za kupangisha n.k, location tabata kinyerezi kifuru kisiwani
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Gharama ya kupelekwa kuonyeshwa eneo sh 30000
Au asilimia kumi %10 dalali mchina
Follow me dalali mchina tabata kinyerezi istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania