Kiwanja kinauzwa Tandale, Dar Es Salaam


KIWANJA CHA BARABARANI SQM.700, TSHS.500 MILIONI, TANDALE-MTOGOLE.
Kinaangalia Barabara ya Lami inayotoka SINZA Kijiweni kuelekea MAGOMENI KANISANI.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Hapa panafaa kuweka jengo la BIASHARA.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________hs
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.