Kiwanja kinauzwa Toangoma, Dar Es Salaam
Gorofa linauzwa location kigambon toangoma Nyumba ya 5 vyumba vyakulala vyumba vyote ni masters bedroom ina sitting room na daining room na jiko pamoja na public toilet Ukubwa wa kiwanja Sqm 1500 nyumba ina hati miliki Kabisa yawizara ya alidhi Kabisa nyumba nizuli saan bei ml 370 tu Gorofa mpya kabisa ipo kalibu na Barbara kuu kabisa kutoka lami mita800 tuu pazuli sana kwamawasiliano #0683491594 #0716974073 .kupelekwa tsh 30