Kiwanja kinauzwa Ukumbi, Iringa
NYUMBA YA GHOROFANI (FLAT/APARTMENT) INAUZWA UPANGA
Ina vyumba vitatu (3) vya kulala kimoja kinachojitoshereza ( Master bedroom) vyoo viwili, ukumbi na mahala pa kula, nyumba ya kisasa ina mvoto wa ndani na nje. Jengo lina lift, genereta, gym na ulinzi 24/7
Ipo katika ghorofa ya tatu upande wa bahari.
Ina Hati,
Inafaa kwa matumizi ya makaazi na biashara(Ukiipangisha unalipwa kodi Tsh 2,500,000 kwa mwezi)
Bei 310mil ( maongezi yapo)
Hii si ya kukosa ipo katika PRIME LOCATION ya Upanga.
Kuiona au maelezo zaidi tuwasiliane kwa simu +255685828285