Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa. Kipo Tegeta Wazo, Umoja Road
Ukubwa wa Kiwanja
Sqm 800.
Bei Shilingi Milioni 30
Malipo ni kwa Installment ya Awamu 2.
Ukimaliza Malipo
Unakabidhiwa Hati
Gharama ya kuona ni 20,000/=
Wasiliana nami kwa
*0787259766
Karibuni Sana