Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam



WAZO, KINONDONI
๐ Fursa ya kipekee ya uwekezaji wa makazi au biashara!
๐ Mahali: Wazo, Manispaa ya Kinondoni
๐ Ukubwa: 1,648 sqm
๐ฃ๏ธ Limepakana moja kwa moja na barabara ya mtaa
๐ Lina hati miliki kuu (Title Deed)
๐ก Eneo bora kwa makazi ya kifahari au ujenzi wa miradi ya biashara
๐ฐ Bei: TZS 150,000,000 (Maongezi yapo)
๐ Wasiliana nasi sasa: 0714514815
--
#goproperty #wazo #plot #forsale #commercial #residential