Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar Es Salaam


KIWANJA EKA 2.15 (SQM.9,501) TSHS.800 MILIONI,KITUNDA MAZIZINI.
Hapa ni umbali wa Kilomita 8 tu kutoka
AIRPORT(JKNIA)
Kiwanja kimezunguushiwa Fensi.
Ndani kuna:
●Mabanda ya Kufugia Kuku.
●Bwawa kubwa la Kufugia Samaki (Halitumiki)
●Huduma za Umeme na Maji zipo
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa unaweza kufanya Uwekezaji kama:
Ujenzi wa Hospitali,Shule,
Nyumba za Biashara (Apartments)
Hotel,Yard au Kuendeleza Ufugaji wa Kisasa nk.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________zw



















