Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam




Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Sqm 2000. Bei Milioni 100 maongezi
Nusu yake sqm 1000- bei Milioni 50 maongezi
Kumepimwa Hati bado
Location- madale msigani
Umbali-km 3 kutoka madale flamingo
Na mita 100 kutoka barabara mpya inayowekwa lami kwa sasa
Karibuni
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747




















