Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


📍 TABATA SEGEREA – DAR ES SALAAM
🔥 KIWANJA CHA PEKEE KINAUZWA 🔥
📐 Ukubwa: Sq. Meter 2,000
🛣️ Kinatazama barabara ya lami (main road)
📄 Kina Hati Miliki
Eneo hili linafaa sana kwa uwekezaji mkubwa kama:
⛽ Kituo cha Mafuta
🏢 Apartments
🏨 Hoteli
🏘️ Villas
🏬 Biashara mbalimbali
Ni sehemu yenye mzunguko mzuri wa watu na magari – fursa adimu kupata kiwanja cha ukubwa huu kinachoangalia lami Tabata Segerea.
💰 Bei: Milioni 430
🤝 Maongezi yapo kwa mteja serious
📞 Piga simu sasa tufanye biashara! 0688412890.
#TabataSegerea #KiwanjaKinauzwa #UwekezajiDar #DalaliWakoWakishua



















