Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya


MRADI MPYA - BAGAMOYO MAKURUNGE📞📞
⏹️Eneo lipo mtaa wa Makurunge barabara inayoelekea HIFADHI YA TAIFA YA SAADANI.
⏹️Umbali ni km 2 toka barabara ya lami (BAGAMOYO ROAD) 
⏹️ Mradi una viwanja vyenye ukubwa kuanzia sqm 450
⏹️Bei ni 5000 tu kwa sqm 1 malipo ya cash
⏹️Bei ni 7000 tu kwa sqm 1 malipo ya awamu (miezi 6)
⏹️Huduma zote za kijamii zipo karibu na  mradi I.e MAJI, UMEME,BARABARA, HOSPITALI NA SHULE.
⏹️Eneo linatazama barabara kubwa ya mtaa.
⏹️ Viwanja vimepimwa, Vina mawe ya wizara, na mteja atapata HATIMILIKI baada ya kukamilisha malipo yote.
⏹️ Kupelekwa site kuona mradi ni kila siku
  MIRADI YETU MINGINE
 ▫️KIGAMBONI DEGE
 ▫️KIBAHA VISIGA.
 ▫️KIBAHA BOKO MNEMELA
 ▫️BAGAMOYO KEREGE 
 ▫️KIGAMBONI KIMBIJI
OFISI ZETU ZIPO MWENGE BAMAGA, JENGO LA DORA TOWER, 4th Floor.
 KARIBUNI SANA
Call/Whatsap: 0695 73 57 57.




















