Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya


Bagamoyo tunayo, na tuna tamba nayo mabosi zanguππ
Miradi ya unafuu ya Viwanja pamoja na mashamba kwa bagamoyo ni chini ya kiasi cha Tsh.1,600,000 ya kitanzania
Yani unanunua na kupata hati yakoπ₯π₯
Bagamoyo makurunge Sqm 1 ni Tsh.4,000
-Bei ya kiwanja cha sqm 400 (20*20) ni Tsh.1,600,000 tu
-Malipo ya mwezi ni Tsh.107,000 tu kila mwezi utalipia kwa muda wa miezi 15
-Malipo ya cash unapata punguzo la Asilimia kumi (10%)
Mashambani ni Tsh.1,500,000 tu kwa Ekari moja (1)
-Malipo ya mwezi ni Tsh.100,000 kila mwezi kwa muda wa miezi 15
-ukilipia cash unapata punguzo la Asilimia kumi (10%)
Tupigie No.βοΈ0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala



















