Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya


Bado hujachelewa japo utachelewa ukikosa site visiting yetu siku ya kesho alhamis saa 3 kamili asubuhi wateja wote mnaohitaji kutembelea mradi wetu bagamoyo dream city tunawakaribisha ofisi makumbusho bus stand floor ya kwanza ofisi no B1st-18 usafiri wa kuwapeleka site utaondoka saa 4 asubuhi viwanja vizuri tambarare vilivyopimwa sqm 400+ & 500+ kwa bei moja ya Tshs Mil 1.5 tuu kiwanja ukubwa wowote sagulasagula! 😳
Chakufanya jioni hii tutumie ujumbe WhatsApp +255 718 936 416 andika naomba ramani ya sagulasagula la bagamoyo utatumiwa chaaap kwa haraka 🤳🏽
Wote mnakaribishwa dalalimwanamke_projects 🛣️