Viwanja vinauzwa Bunju, Kinondoni, Dar Es Salaamsqm 422



Kiwanja ni kimoja tu!, kinapatikana bunju A, kina hati miliki tayari (inakuepusha na migogoro ya ardhi), kipo karibu kabisa na barabara inayotoka Bunju A kwenda Madale Mbopo, Majirani wapo na huduma zote za kijamii zote zinapatikana hadi kwenye kiwanja chako tayari! Usikose hii fursa ya kipekee umiliki kiwanja hiki kilichopo mjini tayari kwa bei nafuu sana!