Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam
VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA BINAFSI
Vipo mtaa wa kibabe sana km unayoona hakuna kuombana chumvi🤗
Viwanja ni viwili vimeungana
Ukubwa-sqm 759 na 674
Umiliki- Hati miliki
Bei ya January ml 50 kila kiwanja maongezi kidogo
Location- goba kulangwa
Umbali-km 1.2 kutoka main road deez pub
Site visit fee 30k
Karibuni
Tupigie +255 658 582977, 0784919453