Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Viwanja Vinauzwa; Goba Muungano.
Kutoka lami ya Goba centre ni KM 3.5
Kutoka lami ya Madale Mivumoni KM 2
Vipo viwanja vingi sana,
Vinaukubwa(Sqm) tofauti tofauti.
BEI ni kwanzia
Million 13.2 hadi Million 50
Vipo Kwanzia sqm 200, hadi Sqm 1,000.
Viwanja vimepimwa hati bado.
Ukilipia kiwanja,
Unakabidhiwa na hati yako.
Mtaa mzuri sana, umetulia
Karibuni sana.
Call WhatsApp
0719523533
0748887892
0689590210