Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam


GOBA KULANGWA – VIWANJA VINAUZWA
Viwanja vinapatikana Goba Kanjibai (barabara ya Madale), mita 400 kutoka lami.
Vipo viwili karibu karibu, vinaweza kuunganishwa kwani ni vya mmiliki mmoja.
Kila kiwanja kina ukubwa wa sqm 1020
Vimepimwa na vina hati miliki
Vimezungukwa na barabara mbili
Bei ya kila kimoja ni milioni 150 (maongezi yapo)
Ukihitaji vyote viwili, utapata sqm 2041 kwa milioni 300 (maongezi yapo)
Piga simu au WhatsApp: 0742 892 195