Viwanja vinauzwa Heka, Singida






heka 15 kila heka bei mil 80 mbez mshikamano km 3 toka stend ya mabus ya mkoa pazuli kwa kukata viwanja shule na mengine pia kuna heka 6 goba ndani ya fens bei bl 4.5 zinagusa lami maeneo yote yana hati kuna tena eneo lipo malamba king,azi heka 14 kila heka mil 90 maongezi yapo maeneo yote matatu yana umeme na maji karibuni