Viwanja vinauzwa Ihumwa, Dodoma
NAUZA VIWANJA VITATU VIZURI SANA VIPO IHUMWA ELISHADAI MITER 100 KUTOKA LAMI DSM ROAD
———————————————————————————————
1] _ UWANJA WAKWANZA UNA UKUBWA WA SQM 790
2] _ UWANJA WAPILI UNA UKUBWA WA SQM 850
2] _ UWANJA WA TATU UNA UKUBWA WA SQM 1090
KILA KIWANJA KIMOJA BEI NI 22M CHAGU CHOCHOTE
———————————————————————————————
_ PIGA 0744783149 / WHATSAPP / TEXT
_ WOTE MNAKARIBISHWA WAHI SASA TUWEKEZE DODOMA MJINI