Viwanja vinauzwa Jana, Shinyanga


Jana Timu ya Oweru International Ltd ilisimamia usafishaji wa barabara kuelekea katika Mtaa wa Muungano ulipo mradi wetu. 
Viwanja bado vinapatikana kwa bei ya Tsh 900,000/= tu. 
Wasiliana nasi leo kwa fursa hizi za kipekee! 0711-890764; au 0714-859934
#oweruinternational #realseller #kibada #kigamboni






