Viwanja vinauzwa Kerege, Pwani


New project new project Kerege
๐Viwanja vimepimwa kuanzia sqm500, 600,700,800,1000 hadi 2000
๐Bei ya 1 sqm ni 13,000/=
๐Malipo ni cash na kwa installment
๐Anza na 371,000/= kwa kiwanja cha 500sqm utalipia kwa miezi 15 tu
๐Hati unapata baada ya kumaliza malipo.
Viwanja viko kwenye makazi tayari Huduma zote muhimu zinapatikana
Kuona site ni kila Jumamosi, Kuweka booking na kuona ramani tupigie sasa
โ+255683273159
Ujanja ni kumiliki ardhi