Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Je ungetamani kumiliki kiwanja kibaha?
Kibaha ni mji wenye mandhari ya pekee sana mazingira yake ni tulivu na hali ya hewa unavutia mno.
Mradi huu wa kibaha upo katika eneo linalofikika kwa urahisi
Vilevile mradi wa kibaha upo karibu na Huduma zote za kijamii ikiwemo hosptali ya Lulanzi.
Umbali wa mradi ni kilomita 2 tu kutokea barabarani
Na gharama yake ni shilingi 15,000 tu kwa SQM.
UJANJA NI KUMILIKI KIWANJA.
Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)
Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126
#viwanja
#plot
#plot
#plotforsale
#viwanjadar
#viwanjavilivyopimwa
#viwanjakigamboni
#viwanjakibaha
#viwanja