Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


*FURSA ZA VIWANJA KIBAHA VISIGA*
✅Viwanja vipo eneo zuri sana la Zegereni
✅6km kutoka barabara ya Dar-Morogoro
✅Bei kuanzia *Tzs 3,667,500* kwa malipo ya awamu mpaka miezi 6
✅Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, shule, hospitali na usalama zinapatikana
Viwanja vipo eneo zuri sana kwa uwekezaji wa nyumba za kupangisha, Kuna uhitaji mkubwa sana wa nyumba kutoka kwa wafanyakazi wa viwandani. Nyumba zenye soko sana ni ya vyumba 2 na 1 zikiwa na bafu, choo na jiko na sebule. Unaweza kujenga nyumba zaidi ya moja kwenye kiwanja kimoja.
WAHI KABLA HUJAKOSA HII FURSA!
Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509 kwa maelezo zaidi.
Tembelea www.viwanjatanzania.co.tz kuona zaidi