Viwanja vinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


MRADI MPYA - KIBAMBA SHULE-KIBWEGERE📞📞 0767053517
◻️Umbali ni km 3 toka Barabara ya lami (KIBWEGERE ROAD)
◻️Nauli ya kutoka standi ya KIBAMBA SHULE hadi kwenye mradi ni 2000 (BODABODA)
◻️Bei ni 20,000 tu kwa sqm 1 malipo ya cash
◻️Bei ni 22,000 tu kwa sqm 1 malipo ya awamu miezi 6
◻️ Viwanja vimepimwa kuanzia Ukubwa wa SQM 400 hadi SQM 800
◻️Huduma zote muhimu zipo eneo la mradi I.e MAJI, UMEME,BARABARA n.k
◻️Barabara zote za mita 8 ndani ya mradi zimechongwa Vizuri
◻️Mteja atapatiwa HATIMILIKI baada ya kukamilisha malipo yote.
◻️Kupelekwa site Kuona mradi wetu ni kila siku bila gharama yoyote.
MIRADI YETU MINGINE
▫️KIBAHA VISIGA.
▫️BAGAMOYO KEREGE
▫️BAGAMOYO MAKURUNGE
▫️KIGAMBONI KIMBIJI
▫️KIGAMBONI MWEMBE
MDOGO
▫️KIGAMBONI DEGE-ECO
VILLAGE
OFISI ZETU ZIPO MWENGE BAMAGA, JENGO LA DORA TOWER, 4th Floor.
KARIBUNI SANA
Call/Whatsap 0767053517