Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Maboss wetu wakifurahia baraka ya Mvua iliyowakuta wakiwa site ๐
Hapo ni Mwasonga Kigamboni, Mradi huu umekwisha walienda kukabidhiwa (baadhi)...
#donttakelifetooseriously๐
Jumamosi ya Kesho tutaenda tutaenda kutembelea mradi wetu wa Viwanja kiromo
Iwe mvua iwe jua ๐
Safari ya Viwanja kiromo inaanzia Makumbusho stand Saa 3 asubuhi nauli elfu 10 kwenda na Kurudi wa Bagamoyo road tutawapitia...
Hakiki uwepo wako Leo!! #0657907091
Kumbuka mradi wa kiromo bei sqm@10,000 unalipa kwa miezi 15, Yaani utalipa 267,000 Kila Mwezi kama ukichukua kiwanja cha sqm400 (mita 20*20)