Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
HII NI BALAAA!! Usikubali Kupitwa na hii OFA kabambe ya Viwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORIS kwa bei ya Laki tisa tu (900,000/=). 0711677199/0744847199.
Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu Kigamboni utapata Kwa bei ya Laki tisa tu. Unanunua na kujenga Maana huduma zote zipo.
➡️ Viwanja ni vizuri sana, ni flat na tayari Kuna majirani wenye nyumba za kisasa.
➡️ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k
👉 Umbali ni Km 36 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 800 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 2 toka BAHARINI.
____________________________
👉 BEI YAKE SASA NI =Tsh 900,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________
USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.
🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.