Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Mradi wa viwanja Kigamboni Buyuni Mahenge.
■Kilomita 45 kutoka Ferry/Darajani
■Kilomita 2 kutoka Beach
■Mita 800 kutoka Barabara kuu
■Eneo limepimwa na limeshakuwa approved na wizara ya Ardhi.
Sqm 1 ni Tsh 10,000 Cash na Tsh 13,000 Installment ya mwaka mmoja na nusu (1 ½).
Mfano
Kiwanja cha sqm 604 bei yake ni Tsh 6,040,000/= Cash na Tsh 7,852,000/= kwa installment
●Anza na 30% au 40% alafu nyingine utamaliza ndani ya mwaka mmoja na nusu (Miezi 18).
■Ukimaliza malipo tunakusaidia kuprocess Hati Miliki.
■Malipo ni Cash au Kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja na nusu.
Ofisi zetu zipo Kigamboni Mjimwema kituo cha Skanska.
Call/Whatsapp 0653988825
ONEROOF REAL ESTATE COMPANY LIMITED