Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Hii haijawahi kutokea, ni ofa ya kufunga mwaka. Jipatie kiwanja Kigamboni Kibada, kwa bei nafuu. Kuanzia milion 3 unapata kiwanja. Wahi mapema kabla ya ofa kupita. Piga/Whatsaap 0627952483.
Viwanja ni vizuri sana, vimezungukwa na makazi ya watu, huduma zote zinapatikana. Umbali tokea Kigamboni Ferry mpaka kibada Stendi ni Km 16. Na kutoka kibada stendi mpaka kwa mradi ni km 1. Bei zetu zinaanzia Milion 3 kwa ukubwa wa kiwanja cha Futi 50 X 40.
Pia kuna ukubwa wa Futi 50 X 50 Milion 4.
Futi 60 X 50 Milion 5. Unaweza kubandanisha zaidi inategemea na uwezo wako. Unakosaje kumiliki kiwanja kwenye mji mzuri kama Kigambo!! Karibu sana ujipatie kiwanja chako. Piga/whatsaap 0627952483
Umbali kutoka Ferry kigamboni mpaka kibada stendi ni km 16 na kutokea kibada road mpaka kwenye viwni km 1. Wote mnakaribishwa. Piga/Whatsaap 0711677199