Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*TUNDWI SONGANI-KIGAMBONI*
Karibu Viwanja Tanzania Supermarket ya Viwanja ujipatie Viwanja vizuri Tundwi Songani -Kigamboni
✅ Vipo sehemu nzuri na tambalale.
✅Vinafikika kwa barabara
✅Usafiri wa daladala unapatikana kwa urahisi
✅ Eneo tayari limeishaendelea likiwa na nyumba za kisasa
✅Huduma za maji, umeme, shule, ulinzi zinapatikana
✅ *Bei kuanzia Tzs 2.5M*
Wahi kabla hujakosa hizi fursa!
Tunapatikana Posta, Nyumba ya Maarifa mkabala na ofisi za shirika la Ndege ATC
Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509/0656020173
Tembelea www.viwanjatanzania.co.tz kuona fursa zaidi.