Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Ikawe Kheri kwa Mwezi pili (February)
Aya sasa visingizio vilikuwa vingi ooh! January sijui aya final imeisha.๐
๐Miliki kiwanja chako sasa na jasiri_land_company_limited
โญTuna Viwanja Kigamboni Gezaulole mradi huu upo karibu kabisa na Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni (4km)
โญPia tuna Viwanja Kigamboni Tundwi Songani mradi huu upo njia ya Mwasonga na bei yake ni simple mno Sqm 1 ni elfu 5000/= , Huduma zote za kijamii zina patikana.
๐Ofisi zetu zipo Kigamboni Kijaruba (opposite na shule ya msingi Maweni) Flame ya kwaza kushoto.
๐๏ธKwenda kuona viwanja tunaenda kila siku toa taarifa kupitia namba:-
โ๏ธ#0621314675 au #0712390895
#kigamboniviwanja #realestate #tundwisongani #memes #2024