Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NEW PROJECT 🔥🔥 KIGAMBONI MWASONGA CHEKENI (mbele ya DAR ES SAALAM ZOO). BEI INAANZIA MILION MBILI NA LAKI SITA TU (2,600,000/=).
👉 Umbali ni Km 22 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Km 21 kutoka kigamboni darajani ( nyerere bridge ) mpaka kwenye mradi🙏. Mwasonga center hufiki, ni baada ya Dar es salaam Zoo.
_____________________________
👉 BEI YAKE NI 6500/=Tsh kwa square meter (sqm) moja Kwa malipo ya Cash.
👉 SQM 400 (25 kwa 16) = (2, 600,000/=)
👉SQM 500 ( 25 kwa 20 ) = (3,250,000/=)
👉SQM 600 ( 30 kwa 20 ) = (3,900,000/=)
👉SQM 800 ( 40 kwa 20 ) = ( 5,200,000/=)
👉Unaweza kuchukua hata SQM 1000 ,2000 , 5000 Kulingana na uwezo wako.
____________________________________
📌Kwa Malipo ya awam Sqm Moja ni Tsh 8000 unalipia nusu (50% )kwanza (installment)
Inayobaki unalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 3
👉SQM 400 (25 X 16) = (3,200,000/=)
👉SQM 500 (25 X 20 ) = (4,000,000/=)
👉SQM 600 (30 X 20) = (4,800,000/=)
👉SQM 800 (40 X 20) = (6, 400,000/=) n.k
■Viwanja ni vizuri sana, ni flat na tayari Kuna majirani wenye nyumba za kisasa.
■Ni Karibu kabisa na maeneo yanayojegwa viwanda, hivyo nyumba za kupangisha ni dili kubwa sana. Eneo lipo karibu na huduma za kijamiii mfano Shule , hospital, umeme, n.k
__________________
USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI MWASONGA KWA DALA DALA zipo, Ukishukia Kibada Kuna bajaji n.k Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.
🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.