Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


```HABARI NJEMA. KUTOKA GSN PROPERTYSOLUTIONS,
○WAMEKULETEA VIWANJA VILIVYOPIMWA HAPA KIGAMBONI=TOANGOMA=MWEMBE MTENGU, MTAA WA MKOKOZI.
○VIWANJA VYETU VINA ANZIA SQMITA 225 NAKUENDELEA.
SAWA NA MIGUU 20X20
AU FUTI 50X50.
○Square mita moja 《1》sawa na tsh 12,000/=
Jumla kiwanja kimoja ni
Tsh 2,700,000/= 《million mbili na laki saba tu》.
UTAANZA KULIPIA 1.5 MILIONI, kiasi kinachobakia utakamilisha ndani ya miezi 4, kila mwezi laki tatu tu 《tsh 300,000/=》
UNASHINDWAJE..!?
Mradi wetu umekidhi vigezo vyote.
__________________
Mradi upo 1.5km kutoka barabara ya lami
■HUDUMA ZA KIJAMII.
Huduma zote za kijamii zinapatikana kama vile.
1.Maji
2.Shule za serikalini
3.Hospitali
4.Umeme upo tayari ndani ya mradi
5.Barabara zinapitika masaa 24 bila shida yoyo te
6.nyumba za ibada zipo karibu
7.Eneo lipo tambarare hakuna mabonde.
8.Viwanja vipo kwenye mpangilio mzuri,kwa mipango miji
9.Bodaboda tsh 1500/= paka SITE.
10. Bajaji tsh 500/= PAKA SITE.
__________________
Utapatiwa na nyaraka zote za KISERIKALI
■MAWASILIANO.
Tupigie Simu 0656 66 25 72
Utatupata kupitia mitandao ya kijamii kama (Facebook, Instagram, YouTube) kwa jina moja GSN PROPERTY SOLUTIONS.
◇ ZINGATIA VIWANJA VIMEBAKI VICHACHE SANA
CHANGAMKIA FURUSA.
◇ GSN PROPERTYSOLUTIONS.
KWA PAMOJA TUTATIMIZA NDOTO ZAKO.
```