Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 50,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

🚨🚨NEW PROJECT-CHEKA KIGAMBONI 🚨🚨

Mradi mpya unapatikana kigamboni cheka

🚨UMBALI🚨
-Mradi upo kilomita 23 kutoka feri mpaka site.
-Mradi upo mita 500 kutoka barabara kuu ya lami.

🚨SIFA ZA MRADI🚨
-Mradi upo karibu kabisa na chuo cha unesi cha WESTERN COLLEGE.
-Mradi umepimwa na kuwekwa mawe ya wizara
-Mradi ni tambarale💯.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu ikiwa na umeme upo mpaka site kabisa.
- Mradi umezungukwa na makazi ya watu (Nunua leo jenga leo).

🚨BEI ZAKE🚨
-Tsh 35,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya mkupuo (cash)
-Tsh 40,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya awamu (installment) kwa muda wa miezi 6 kwa kianzio cha 40% (down payment).
-Tsh 50,000 kwa malipo ya bila kianzio (flat rate) kwa muda wa miezi sita.

🚨Siku za kuembelea site ni jumatano, jumanmosi na jumapili , buree kabisa.

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga simu au tuma ujumbe kwa namba 0788980126.

FURSA CREDIT SERVICES “miliki ardhi, ishi ndoto zako”

Arafaviwanja
viwanja_vyetu_kigamboni
Arafaviwanja

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 120,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba Ina chumba kimoja master nzuri ✅Umeme ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location geza wilayani <>Ukubwa wa eneo SQM 780✅HATI YA WIZALA <> price...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zi...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

🔥🔥 MRADI WA VIWANJA – KIGAMBONI VUMILIA UKOONI (MWEMBEMDOGO) 🔥🔥📍 Viwanja vimepimwa rasmi na vin...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Cheka---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafika...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Darajani 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

🏡✨ NYUMBA INAUZWA – TUANGOMA ✨🏡---🔥 ZIPO NYUMBA 2 zenye:🛏️ Chumba Master Bedroom (Self Contained...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI <> location kisiwani <> Ukubwa wa eneo SQM 750✅HATI YA WIZALA<> price Mil...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

BEACH PLOT INAUZWA KIGAMBONI BUYUNIBEI;MILION 450UKUBWA;HEKARI MOJAFULL DOCUMENTSCALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

Kigamboni kona ya chuo cha afyaBei;Milion 60UKUBWA;SQM 2800Full document Call 0742121038

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 80,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 270,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Ungindoni ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) in...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 270,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Ungindoni ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) in...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba Ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba Ina chumba kimoja master na jiko kubwa...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI MCHIKICHINIBEI:MILION 35 NA LAKI 5UKUBWA;SQM 400CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

Eneo Nzuri Sana IinauzwaMahali: KIGAMBONI KIMBIJI MTAA WA GOLANIBei: Milioni 55 (Mazungumzo)☑️Unatem...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Eneo Nzuri Sana IinauzwaMahali: KIGAMBONI KIMBIJI MTAA WA MUHIMBILI Bei: Milioni 250 (Mazungumzo)☑️M...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

Viwanja Vinauzwa Vipo KIGAMBONI KIMBIJI MTAA WA MUHIMBILI Mita 200 kutoka main Road Ukubwa ni SQm 50...