Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Mradi wa Viwanja Kigamboni Mbutu Beach.
Kimebaki kiwanja kimoja tu cha Sqm 1,540. Na bei ya sqm 1 ni Tsh 30,000.
Eneo limepimwa na limeshakuwa approved na wizara ya ardhi.
Wengine tuliowauzia awali wameshapata Hati Miliki zao.
Call/watsap 0694 398 086