Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Karibuni sana wateja wetu siku ya kutembelea site ni ijumaa, jumamosi na jumapili.
Miradi Yetu ipo:
Kigamboni Gezaulole
🟢umbali wa km 12 kutoka ferry
🟢Huduma za kijamii maji, umeme n.k inapatikana
🟢Bei Tsh 35,000 kwa sqm unaweza kulipia cash au installment
Bagamoyo Mataya
🟢Viwanja vinaukubwa wa sqm 400-500
🟢Huduma zote za kijamii zinapatikana maji, umeme n.k
🟢Malipo kwa cash ni Tsh 4,000,000 na ukilipia kwa awamu utalipia Tsh 500,000 kwanza kiasi kitakachobakia utalipia Tsh 150,000 kila mwezi ndani ya miezi 25.
utalipia ndani ya miez 6
🟢Umbali kutoka lami km 2.5
Kibaha Visiga
🟢Bei tsh 3,000,000- 3,500,000 Kwa sqm
🟢Huduma zote za kijamii zinapatikana
🟢 Umbali wa 4km kutoka bzrabara ya lami
Kwa maelezo zaidi
Call 0716998200