Viwanja vinauzwa Kigogo, Dar Es Salaam


Eneo kwa ajili ya biashara ya makazi( housing estate), eneo zuri la kimkakati liko umbali wa km 17 kutoka ferry, ndani ya mradi wetu wa viwanja uliyopo kigogo KISARAWE II.
Ukubwa: sqm 5163 sawa na ekari 1.27
Bei ni tsh 30000@sqm sawa na tsh 154,890,000/=