Viwanja vinauzwa Kiluvya, Pwani


Kwa shilingi 15,000/= Kwa square meter unaweza kujipatia Kiwanja chako hapa Kiluvya Makurunge Kwa Masister!
Viwanja vingine unapata Kwa SHILINGI 12,500/= Hadi 13,500/= Viwanja vyetu vyote vimeshakuwa approved.
Ukubwa wa Viwanja ni kuanzia 400m²,500m²,600m² Hadi 1400m²
Utaratibu wa Malipo ni Mwaka Mmoja.
Kianzio 1,000,000/=
Malipo mengine yanakamilishwa ndani ya miezi kumi na mbili
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814