Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000
Project
Yes

MADALE MIVUMONI - eneo tambalale kabisa

■■ Viwanja vipo jirani kabisa na barabara kuu ya kutoka Goba kuelekea Madale.

■■ Hapa tumepima viwanja 20 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa mita chache unaingia ndani kwako hapo hapo.

■■ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri.

■■ Viwanja vipo sehemu ambayo kwenda katikati ya mji ni mwendo wa dakika kadhaa tu.

■■ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Bei hapa ni 80,000Tsh kwa sqm 1 ya mraba na malipo yake ni CASH . Katika suala la bei maongezi yapo kidogo.NJOO OFISINI

Viwanja vya hapa vina ukubwa kuanzia sqm 600[upana 20mita × urefu 30mita] mpaka sqm 1500[upana inakuwa 30mita x urefu 50mita].

Inamaana hapa viwanja vimeanzia milioni 40 mpaka milioni 120 kutokana na ukubwa unaotaka wewe mnunuaji tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

1km kutoka Madale centre na 1km kutoka madale road(Barabara ya Lami, ingawa barabara ya kwenda eneo la project ni kubwa (30mita) na inafikika katika kipindi chote cha mwaka iwe masika iwe jua

Nauli kutoka Mbezi Magufuli Stand au Tegeta mpaka Madale ni sh. 500 tu kwa daladala na kutoka barabara ya Lami kwenda site hata kwa miguu unaenda vizuri kabisa mana ni karibu.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI #0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na ndio wamiliki wa mradi.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA  Location(Madale)Apartments Nzuri SanaaImebaki Moja Tuuuuuuuu2Bedroom...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment kali sana inapangishwa:Room 2 moja self Sebule kubwa sana open kitchen Public toilet na ma...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA  Location(Madale Centre)Apartments Mpyaaaa NzuriDakika 5 toka lamiiii...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment kali sana inapangishwa:Room 2 moja self Sebule kubwa sana open kitchen Public toilet na ma...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#APARTMENTS #MPYAAA KABİSAAA YA #KİFAMİLİA İNAPANGİSHWA #GOBA_NJİA_4 MADALE ROAD MİTA 800 TOKA #LAMİ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment kali sana inapangishwa:Room 2 moja self Sebule kubwa sana open kitchen Public toilet na ma...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment kali sana inapangishwa:Room 2 moja self Sebule kubwa sana open kitchen Public toilet na ma...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

A Bachelor Apartment For Rent Location:Madale Karibu Na Lami 1 Bedroom MasterSeating RoomKitchen Luk...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT INAPANGISHWA;💧Location :: MADALE - KARIBU NA BARABARA 💧Bei :: 350,000Tsh Malipo Kwanzia ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

Apartment Inapangishwa💧Chumba kimoja master 💧Sebule 💧Choo cha Public 💧Jiko💧Fance💧Location mada...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT INAPANGISHWA;💧Location :: MADALE - KARIBU NA BARABARA 💧Bei :: 350,000Tsh Malipo Kwanzia ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT INAPANGISHWA;💧Location :: MADALE - KARIBU NA BARABARA 💧Bei :: 350,000Tsh Malipo Kwanzia ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA  🏡 NYUMBA MPYA INAUZWA – MADALE MIVUMONI 🏡📍 Mahali: Madale Mivumon...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

🌟 🏠 NYUMBA INAUZWA – MADALE KITUO CHA POLISI 🚨Unatafuta nyumba ya kumalizia kwenye eneo tulivu na...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE KWA KAWAWA —...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

Plot for sale (Kiwanja kinauzwa)Country:- TanzaniaCity:- Dar es salaamLocstion:- Madale centerPrice:...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

🏠 Nyumba ya Kupangisha - Stand Alone📍 Madale, mita 100 tu kutoka lami✨ Mpya kabisa – ipo hatua za ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

🏡 Apartments za Kupangisha Madale (📍Karibu na Kituo cha Polisi)🛡️ Zipo ndani ya fensi – salama n...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

🌟 🏠 NYUMBA INAUZWA – MADALE KITUO CHA POLISI 🚨Unatafuta nyumba ya kumalizia kwenye eneo tulivu na...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 90,000

Viwanja vizuri sana vinauzwa:Viwanja tambarare mkeka km uwanja wa mkapaUKUBWA SQM 812 NA SQM 1500...