Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
Viwanja vizuri sana vinauzwa:
Vinafaa kwa makazi apartment lodge n.k
Viwanja vipo 6 tu
Sqm 817, 809, 790, 775, 715 na 658
Bei- kwa sqm 1 ni 100,000/=
Vipo mita chache sana kutoka lami
Viwanja vimepimwa na Hati Zipo Hatua za mwisho kutoka
Location- madale
Umbali-mita 50 tu kutoka main road
Karibuni
Whatsapp/normal call 0745488000