Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Viwanja vizuri sana vinauzwa:
Viwanja vimekamata barabara kubwa ya madale mkoroshini kuelekea mbopo
Ukubwa kuanzia sqm 837 na kuendelea
Bei kwa SQM 1 ni 80,000/=
Viwanja vimepimwa hati bado
Location- madale mkoroshini
Umbali- mita 800 kutoka main road madale mkoroshini
Karibuni
Karibuni SANA DALALIMICHAELKANYERERE 🇹🇿📞🎤👈💯
maikokanyerere904@gmail.com 💯👈📞🎤🇹🇿