Viwanja vinauzwa Makurunge, Pwani


Miliki Nyumba makurunge, Anza kwa kununua uwanja upate Na hati Miliki kutoka wizarani
Viwanja viko Mita 200 kutoka barabara ya kuelekea saadani Na km2 kutoka Barabara ya Msata.
Kwa 5500/= Kwa SQM yaani 2,750,000/= kiwanja cha 500SQM
Utalipia Kwa kukupokea (cash ) na kupata 10% discount Kwa cash utalipa 2,475,000/=
Au utalipa Kwa installment ( kidogo kidogo) Ukianza Na 229,200/= Kwa miezi 12 tuu
NB. Maji Na umeme ziko kwenye Mradi
Wahi viwanja ni vichache sana
Fika ofisini
Sinza C, Igesa road
Piga simu +255 683273159
Whatsapp +255 683273159