Viwanja vinauzwa Mawasiliano, Morogoro


Unaitaji Kiwanja? Kiwanja kilichopimwa unaweza kupata kutoka Remmys Brand! Sisi ni wauzaji safi kabisa wa VIWANJA VILIVYOPIMWA. Viwanja Approved na vinavyotambulika na Serikali.
Viwanja hivi vina ukubwa kuanzia 400m² Hadi 2160m²
Bei Kwa square meter 15,000/= sawa na shilingi 6,000,000/= Kwa uwanja wenye square meter 400m²
Utaratibu wa Malipo
1,000,000/= Malipo ya Awali
Kiasi kilichobaki utalipia taratibu ndani ya Mwaka Mwaka.
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814