Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 9,600,000
Project
Yes

KAMPUNI YA RAMAHA LAND TUMEKULETEA SITE MPYA YENYE VIWANJA ZAIDI YA 300 KWA SH 1,600,000/
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
____________________________

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.

UKUBWA WA VIWANJA
Fut 50 kwa 40 Tsh 1,600,000/ anza na laki nane

KWA MITA KUNA MITA
12×15= 1,600,000/
24×15= 3,200,000/
24×30= 6,400,000/
30×36= 9,600,000/
24×45= 9,600,000/

Anza na 50/% nusu ya bei kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.

Site hii ina sifa zote
Ni tambarale
Maji yapo
Umeme upo
Imepakana na shule ya msingi ya Mipeko C
Ipo karibu na sekondari ya Tambani
Imepakana na eneo lililotengwa kwa ajili ya zahanati.

Njoo utembelee leo. Ukifika ofisini kwetu gari za kukupeleka site ni bure kabisa. Una ngoja nini.

RAMAHA LAND ni baba lao

Kwa mawasiliano zaidi piga 0699088721 au 0674582245

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 88,000,000

Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki WhatsApp 0652 618 143 0759 203175 Boss wangu hii ni nyumb...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 36,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOIL...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 88,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA IPO MBAGALA CHARAMBE MAJIMATITU WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI BEI MILIONI 88,IN...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 17,000,000

NYUMBA PAGALA (UNFINISHED HOUSE) INAUZWA BINAFSIIpo kongowe mbagala Dar es salaam Tanzania Nyumba ni...

Kiwanja kinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

To Let: 1,000 SQM. GO-DOWN, TSHS 13 MILLION/MONTH AT MBAGALA ZAKHIEM.Secure, easily accessible and c...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

#NYUMBA INAUZWA LOCATION #MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 BEI MILIONI 110 : MAONGEZI YAP0 🥈 ...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 37,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku ilulu nyumba ya vyumba5 vya Kulala masters 3 stingiroom nyum...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba4 vya Kulala nyumba umene upo maji yapo nyumba be...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

Nyumba inauzwa MBAGALA CHAMAZI (AZAM COMPLEX📌BEI MILION 27 MAONGEZ YAPO (usiogope)Vyumba V3 kimoja ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

Nyumba inauzwa MBAGALA CHAMAZI (AZAM COMPLEX📌BEI MILION 27 MAONGEZ YAPO (usiogope)Vyumba V3 kimoja ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

Nyumba inauzwa MBAGALA CHAMAZI (AZAM COMPLEX📌BEI MILION 27 MAONGEZ YAPO (usiogope)Vyumba V3 kimoja ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

Nyumba inauzwa MBAGALA CHAMAZI (AZAM COMPLEX📌BEI MILION 27 MAONGEZ YAPO (usiogope)Vyumba V3 kimoja ...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YA KUMALIZIA, BEI YA-DHARULA,TSHS.280 MILIONI TU, MBAGALA-CHAMAZI.Hapa kuna Nyumba 2 za Ghoro...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Nyumba ya biashala inauzwa Nyumba ipo mbagala mission Nyumba inauzwa kwa niaba ya bank Nyumba ina vy...

Nyumba inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

✅ NYUMBA INAUZWA ML35 MAONGEZI YAPO 📌 MBAGALA KIZUIYANI UKUBWA WA ENEO SQM 500👉 USIOGOPE BEI INAZU...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa ni stand alone house bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyum...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Mbagala zakheim industrial area godowns for rent Godown = 600sqmGodown = 600sqmGodown = 1,200sqmYard...