Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

NEW NEW SITE 2024[๐Ÿ“MBAGALA VIKINDU VIANZI MASHAMBA NA VIWANJA VIPYA WAI SASA MAPEMA UJIPATIE KIWANJA KWA BEI NAFUU KUANZIA MIL 1,500,000tu.. Jipatie viwanja vilivyopimwa na vyenye hati.

*SIFA ZA VIWANJA VYA VIKINDU VIANZI*

๐Ÿ”Viwanja Vipo Tambalale
๐Ÿ”Viwanja vimepimwa
๐Ÿ‘‰Viwanja vina hati
๐Ÿ”Viwanja vinatambulika na Serikali
๐Ÿ”Viwanja vimepangiliwa katika makazi bora ya miji ( *kila kiwanja kina barabara ya mtaa* )

Ukifika VIKINDU STAND Tupigie Simu ( 0684074721 )

Utapelekwa site na kurudishwa kwa usafiri wa kampuni ni buree
*BEI ZA VIWANJA*

VIWANJA VYA ๐Ÿ“*( VIKINDU VIANZI KM 3 KUTOKA LAMI )
๐Ÿ“๐Ÿ’ฅ FT 50ร—40 Sqm 224 Mil 1,500,000
๐Ÿ“๐Ÿ’ฅ FT 80ร—50 sqm 448 Mil 3,000,000
๐Ÿ“๐Ÿ’ฅFT 100ร—80 Sqm 896 Mil 6,000,000

unauwezo wa kuunganisha viwanja viwili, vinne na kuendelea kulingana na kipato chako.

Utaratibu wa kulipa kwa awamu upo, unaweza kuanza na 70% ( Laki 8 ) inayobaki utalipia ndani ya miezi 3.

Usafiri wa kufika Vikindu ni uhakika muda wote, Unapanda gari moja tokea Kariakoo, Temeke, Kivukoni, Kigamboni, Mbagala n.k

*KWETU UAMINIFU 100%*
MAWASILINO
0684074721

Whatsapp
+255716704217

๐’๐ข๐ค๐ฎ ๐ณ๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ฌ๐ข๐ญ๐ž ๐ง๐ข siku zote za wiki. Piga 0716704217

SHH Property LTD
shhproperty
SHH Property LTD

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi manispaa ya temeke dar es salaam Bei milioni { 60,000,000/= milio...

Sh. 35,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi mbande dar es salaamBei milioni { 35,000,000/= milioni }075912874...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi mbande dar es salaamBei milioni { 35,000,000/= milioni }075912874...

Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 9,600,000

KAMPUNI YA RAMAHA LAND TUMEKULETEA SITE MPYA YENYE VIWANJA ZAIDI YA 300 KWA SH 1,600,000/___________...

Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 9,600,000

KAMPUNI YA RAMAHA LAND TUMEKULETEA SITE MPYA YENYE VIWANJA ZAIDI YA 300 KWA SH 1,600,000/___________...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 185,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI MANISPAA YA TEMEKE DAR ES SALAAMBEI MILIONI { 185 } MILIONI0...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 5 nakuendelea. Nyumba ipo mbagala maji ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 5 nakuendelea. Nyumba ipo mbagala maji ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

SOLD OUT XXX! Nyumba inapangishwa ipo mbagala chamazi mikumi bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi...