Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA
ENEO LIPO ZINGA BAGAMOYO
📌 Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.
📌 Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.
📌 Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.
📌 Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.
📌 Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.
📌 Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]
Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.
Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.
Tunawajari sana wateja wetu.
Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.