Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,200,000

NICE APARTMENT FOR RENT(UNFURNISHED)LOCATION: MBEZI BEACHPRICE : 2.2 M TSH PER MONTH PAYMENT: 6 MO...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,200,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH KWA ZEN...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

STAND ALONE HOUSE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUF Vyumba 5 vya kulal...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

STAND ALONE FURNISHED HOUSE FOR RENT/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE NA INA KILA KITU INAPANGIS...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYU...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

STAND ALONE FURNISHED HOUSE FOR RENT/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE NA INA KILA KITU INAPANGIS...

Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 1,500 per month

#3BEDROOMS (FULLY FURNISHED)APARTMENT FOR RENTIN DAR-ES-SALAAM TzLOCATION -MBEZI BEACH______________...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI______________APART NZUR...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYU...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho ■Ina vyumba vitatu■ aina Master ■Sebule ■Jiko■Public toilet■■Uku...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

STAND ALONE FURNISHED HOUSE FOR RENT/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE NA INA KILA KITU INAPANGIS...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

STAND ALONE HOUSE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUF Vyumba 5 vya kulal...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

STAND ALONE FURNISHED HOUSE FOR RENT/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE NA INA KILA KITU INAPANGIS...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYU...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYU...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

DATE: 4/5/2025HOUSE FOR RENT: APARTMENTASKING PRICE: MILIONI 1.5TERMS OF PAYMENT: MIEZI 12DIRECTION:...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

DATE: 4/5/2025HOUSE FOR RENT: APARTMENTASKING PRICE: MILIONI 1TERMS OF PAYMENT: MIEZI 6DIRECTION: MB...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA YUSUFU KM1.2 KUTOKA LAMI ------Chumba Seble JikoLuku yako Maji ya...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

Apartment Ya Kisasa InapangishwaMahali: Mbezi Beach ShoppersBei: 1,000,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000 per month

#Repost Dalalimbezibeach_semba • • • • • •300,000=/ KWA MWEZI 3CHUMBA-SEBURE-JIKO-CHOOLOCATION:MBEZI...