Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Viwanja Vinauzwaa Vipo njia ya mbezi to Goba kituo kwa Robati.
Viwanja Vipo viwili sehemu moja,Kila kiwanja kina ukubwa wa square meter 600.
###viwanja vimepimwa na becon tayari zimewekwa bado tu process ya kumalizia kupata Hati miliki.
Bei kwa Kila kiwanja kimoja ni milioni 17 Maongezi kidogo yapo.
## piga 0719190753.