Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

SWIPE LEFT ➡️kuona video za eneo lenyewe

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 1,300,000

🌟 Modern 2-Bedroom Apartment for Rent – Mbezi Beach📍 Location: Mbezi Beach🚶 Accessibility: Just a...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

NYUMBA INAUZWA ------------------------------📌MBEZI MALAMBA MAWILI📌Umbali: KILOMETA 1 KUTOKA LA...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KIBAMBA HOSPITAL WILAYA UBUNGO DAR ES SALAAM BEI MILIONI 120 📌INA V...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

NYUMBA INAUZWA BEI RAHISI MNOOMILLION 75 INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE DINNING PAMOJA NA JI...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

House For Sale Location:Mbezi Kwa Msuguri Plot Size Sqm 350Documents:Sales Agreements 3 Bedrooms 1 M...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

Stand Alone Inapangishwa IPO mbezi beach upande wa chini Vyumba VITATU na boycotter Paking space IPO...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH TANG BOV...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

MPYA MPYA MPYAAPARTMENT MBEZI LUGURUNI INAPANGISHWALOCATION: MB3ZI LUGURUNI KM 1 TOKA MAIN ROAD. KOD...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

CHUMBA MASTER | SEBULE KUBWA NA JIKO. KUBWA SANA. KODI 500,000/= ×6 TU (Deposit ya 200,000/=)__MBEZI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI 400000 K X6APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURIZIPO NYUMBA 4 KWENYE FENSI MOJAMOJA IPO WAZIKAMA UN...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

CHUMBA MASTER | SEBULE KUBWA NA JIKO. KUBWA SANA. KODI 500,000/= ×6 TU (Deposit ya 200,000/=)__MBEZI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI 400000 K X6APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURIZIPO NYUMBA 4 KWENYE FENSI MOJAMOJA IPO WAZIKAMA UN...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO KM 1.2 KUTOKA MBEZI MAGUFULI TERMINAL AU UNAWEZA KUPI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI 400000 K X6APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURIZIPO NYUMBA 4 KWENYE FENSI MOJAMOJA IPO WAZIKAMA UN...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI 400000 K X6APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURIZIPO NYUMBA 4 KWENYE FENSI MOJAMOJA IPO WAZIKAMA UN...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT 4RENT 👉MBEZI KWA MSUGURI..NYUMBA NI MPYAA KABISA...A..CHUMBA SEBULE JIKO CHOO#200K..B..VY...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

HOUSE FOR SALE HOUSE FOR SALEMBEZI BEACH AFRICANA SQM 1951BEI MILION 850HATI IPO SAFI 0625584914